TIMU YETU
KARIBU
Uifahamu timu yetu ya nguvu inayosukuma gurudumu la teknolojia kwa ubunifu, bidii, na mshikamano.
1. EADRYC
Cheo: Mkurugenzi wa Teknolojia
Utaalamu: Web development, Android apps, na networking
Kauli mbiu: “Teknolojia ni daraja la mafanikio.”
2.ANOLD
Cheo: Mratibu wa Mafunzo
Utaalamu: Cybersecurity, Python programming
Kauli mbiu: “Elimu ya tech inabadilisha dunia.”
3. FAHMY
Cheo: Mkuu wa UbunifuUtaalamu: Graphic design, UI/UX, content creation
Kauli mbiu: “Kila pixel ina maana.”
4. ROUDGER M.
Cheo: Msimamizi wa Miradi
Utaalamu: ICT project planning, database systems
Kauli mbiu: “Mipango sahihi huzaa matokeo bora.”
5. EDDY J
Cheo: Mhandisi wa Software
Utaalamu: Software development, Java & Kotlin
Kauli mbiu: “Code ni lugha yangu ya pili.”
6. MELLAH
Cheo: Mtaalamu wa Data
Utaalamu: Data analysis, Machine learning
Kauli mbiu: “Takwimu hazidanganyi.”
7. KILEWA JR.
Cheo: Msimamizi wa Mitandao
Utaalamu: Computer networks, server administration
Kauli mbiu: “Connection ni kila kitu.”
8.DRILLZ
Cheo: Mtaalamu wa Usalama Mtandaoni
Utaalamu: Ethical hacking, system security
Kauli mbiu: “Ulinzi mtandaoni ni msingi wa kila kitu.”
9. KIAMA
Cheo: Mshauri wa Teknolojia
Utaalamu: Tech trends, innovation consulting
Kauli mbiu: “Fikiria mbele ya wakati.”
10. DAUDI.
Cheo: Mkuu wa Mawasiliano
Utaalamu: Digital marketing, community engagement
Kauli mbiu: “Teknolojia bila mawasiliano ni kazi bure.”
Comments
Post a Comment