HUDUMA ZINAZOPATIKANA
Huduma Tunazotoa – DEVELOPER GROUP
DEVELOPER GROUP Tunajitolea kusaidia jamii kwa kutumia teknolojia. Huduma zetu zimeundwa kwa malengo ya kuinua maarifa, kukuza ubunifu na kusaidia maendeleo ya kidijitali.
1. Mafunzo ya Kompyuta na Teknolojia
Tunatoa kozi fupi kwa wanafunzi na vijana kuhusu:
Msingi wa kompyuta (Computer Basics)
Programu kama C++,HTML/CSS, JavaScript
Matumizi ya Microsoft Office & Google Workspace
2. Ubunifu wa Mifumo na Tovuti
Tunasaidia taasisi ndogo na wanafunzi kutengeneza:
Websites kwa ajili ya miradi au biashara
Mifumo ya database na usimamizi wa taarifa
Web apps rahisi kwa huduma mbalimbali
3. Ushauri wa Kitaalamu (Tech Consultancy)
Tunatoa ushauri juu ya:
Kuchagua vifaa bora vya ICT
Jinsi ya kuanzisha biashara ya kidijitali
Ulinzi wa taarifa mtandaoni (Cybersecurity Basics)
4. Kuandaa Events na Semina za Tech
Tunaandaa:
Coding challenges
Semina juu ya usalama wa mtandao
Hackathons na bootcamps
5. Graphics Design na Content Creation
Tunasaidia kwa:
Kutengeneza mabango, logo, na brochures
Kuandaa content kwa blogs, YouTube na mitandao ya kijamii
Comments
Post a Comment